Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Haya ndugu. Faudu peke yako. Faudu matunda ya dhana nzima ya "ujengezi". Kwa moyo mweupe kabisa nawatakia ndoa njema na yenye furaha!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muacheni carba aje kwangu
Shemeji kweli?Ukoo huu umeuvuruga shemeji. Tulikuwa tunapendana sana lakini sasa upendo kwishnei kabisa.
We subiri kivumbi. Naamini utaniita tu ili kukusaidia...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii itakuwa WW4 nafikiri,maana dadayako naye jeuri halafu hataki kugivu apu
Mh!Uende wapi? Hamna cha talaka kupewa,ila unafanyiwa replacement tu.
Nakusalimia tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hakuna huzuni tena bro upendo wa kweli ni kutamani kuona yule unaempenda anafurahia maisha ikiwa wewe binafsi umeshindwa kumpa, akipata pa kupata una support 100 percent
No hard feelings bro
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Andjul my ndugu kazi kwako tu mpe furaha huyo
Dunia hii hata uwe crezi itakunyosha tu mkuu. Kwema?
Kama naniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mimi mpana
Huyu Cole naye huyu. Aaaaargh !!!Wali bet shemeji
Cole akitoa hiyo avatar nahamia kwa andjul
Anajitilisha huruma sana.Nina dalili zote za kujitoaSad. Vere sad...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mmhh!![emoji15] [emoji15]Haya ndugu. Faudu peke yako. Faudu matunda ya dhana nzima ya "ujengezi". Kwa moyo mweupe kabisa nawatakia ndoa njema na yenye furaha!!!