Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-09-20-43-04.png
 
Tenaaa???[emoji134] [emoji134]
Huruma wapi? Anacheka moyoni huyo...Na sidhani kama anawaza kwa kutumia kichwa cha kawaida...Testosterone ndo inafanya maamuzi kwa sasa. [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
NAJITOA RASMI KWENYE HUU UKOO[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Shemeji kweli?
Basi mniache huru niende hata kwa KK msije shikiana visu buree[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ongea na mumeo mpya. Hayo sisi hayatuhusu. Hata mkipata matatizo ya kuugua/kuuguliwa na hata (God forbid) kifo sisi hatuhusiki kwa namna yo yote ile. Mumeo anajifanya anajua kila kitu mpaka amedharau ukoo mzima kisa akupate. Basi tutaona !!!
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] andjul njoo huku
Me laana ya ukoo sitaki
 
Back
Top Bottom