Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.

It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tukae chonjo tuchek tu bro no way out
 
Kwa upande wa dawa za kumeza hakikisha unameza zote kama ulivyoelekezwa. Usiache kidonge hata kimoja!

Safisha kidonda na paka dawa mpaka kitakapokauka na kupona kabisa. Kadiri kidonda kinavyokuwa kisafi na mwili kuwa na hali nzuri ya lishe ndivyo ambavyo huwahi kupona.
 
Hebu mdadavulie kwanza[emoji23] [emoji23]
Picha gani? Hii? Kweli adadavue tuone kama hoja zake zinasimama kisheria...
61ecbbe576bce575da8c38defe4b4269.jpg
 
Baba mmoja alifariki jioni saa 10:30 kwa malaria, jioni mama amelia sana mpaka presha yake ikashuka kama ilivyo kawaida. Ndugu wakaanza kumpepea wakasema "huyu ana presha" hawakufafanua. Jirani mmoja akasema "ngoja nikamletee vidinge vyangu" mama aliyefiwa alikuwa na presha ya kushuka, akapewa vidonge vya mtu mwenye presha ya kupanda. Masaa machache mama akazimika. Lilikuwa tukio baya, mahiwa st kariakoo Dam
Aiseeh!so sad
 
Back
Top Bottom