Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BayIAJqjXkM.jpg
 
Cole mdogo wangu,hii vita niliipigana kwa moyo wangu wote na wa Shimba kwa pamoja hadi siku umetufukuza kwenye mapamabano.
Hakuna kilicho haribika ndugu yangu,narudi tena kwenye uwanja wa vita kwa ajili yako.
Nataka amani ya nafsi yako ipatikane tena, carba arudi nyumbani kwako kwa ghalama yoyote ile.
Nisamehe mdogo kama kuna sehemu nilizembea kukulinda
Narudi rasmi kukulinda.
Shimba ya Buyenze,nakuomba unisaidie kurestoo amani ya broo wako...chonde chonde[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sio kwa essay hii[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Piga shangwe bro
Tumoghele Tumoghele aaaaha Tumoghele andjul ahaa Tumoghele [emoji445][emoji444][emoji441][emoji443][emoji447][emoji443][emoji445][emoji444][emoji441][emoji442]
Plzzz Cole siwezi fanya kwa kweli. Ule mkataba wa picha nauchana rasmi,kuanzia sasa nitaiongoza vema familia yako.
Mweee tummoghelee tummoghelee....tummoghelee eeee,
Cole ghwitu tummoghelee, jhope carba tummoghelee[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] alillilililiiiiiiiiii .....
 
Cole mdogo wangu,hii vita niliipigana kwa moyo wangu wote na wa Shimba kwa pamoja hadi siku umetufukuza kwenye mapamabano.
Hakuna kilicho haribika ndugu yangu,narudi tena kwenye uwanja wa vita kwa ajili yako.
Nataka amani ya nafsi yako ipatikane tena, carba arudi nyumbani kwako kwa ghalama yoyote ile.
Nisamehe mdogo kama kuna sehemu nilizembea kukulinda
Narudi rasmi kukulinda.
Shimba ya Buyenze,nakuomba unisaidie kurestoo amani ya broo wako...chonde chonde[emoji120] [emoji120] [emoji120]
SIKUAMINI
 
Elezea vizuri dalili zote, elezea kama una ujauzito, elezea kama ni kweli hizo dawa unamnunulia mtu au ni kwa ajili yako mwenyewe, ulizia kama kuna muingiliano kati ya hizo dawa na dawa zingine unazotumia au magonjwa unayoumwa nk
 
Back
Top Bottom