Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa bahati nzuri hapa nchini kwetu tuna viwanda vinavyozalisha Paracetamol pia, na kila kiwanda kimeipa Paracetamol yake jina lake. Mifano ya Paracetamol kutoka nchini kwetu ni Zenadol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Zenufa), Sheladol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Shelys), Diodol (Kutoka kiwanda cha dawa cha Keko)