Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-09-21-47-10.png
 
Famasi inaruhusiwa kuwepo popote, na dawa zote zimeruhusiwa kuuzwa. Changamoto kubwa ni kwamba gharama za uendeshaji wa famasi ni kubwa hivyo ni lazima ikae eneo lenye wateja wengi na kuweza kuingiza pesa za kutosha kila siku. Hii ndio sababu famasi nyingi huanzishwa mijini na maeneo yaliyo karibu na hospitali kubwa na si vijijini au pembeni mwa mji ambako hakujachangamka. Pia kwenye famasi kunakuwa na mfamasia anayesimamia na hata wahudumu wake wengi wanakuwa na elimu kubwa zaidi.
 
Biashara ya dawa inalipa sana!

Nashangaa kwa nini watu wengi bado hawachangamkii fursa hii. Kwa nini bar, guest house, nyumba za kupangisha na biashara zingine ziwe nyingi kuliko famasi wakati famasi zina faida sawa au kubwa zaidi ya hizo?

Nashauri wafanyabiashara wageuzie macho yao huku ili waweze kunufaika zaidi na kusaidia jamii.
 
Richa ya hizo sheria nyingi na matakwa ya biashara hii lakini bado ni rahisi sana kupata ushauri mzuri na kuanzisha biashara hii kwa mafanikio na ukafanikiwa sana. Pata ushauri sasa na faida kubwa sana utaipata.
 
Asilimia kubwa sana ya dawa tunazotumia zinatoka nje ya nchi, hususan India

Inahuzunisha sana na kuumiza moyo. Lakini ukweli ndio huo. Kutokana na gharama kubwa sana ya kuanzisha viwanda vya dawa hapa nchini na wafanyabiashara wakubwa kutogeukia fursa hii dawa nyingi zaidi zinaingizwa kutoka nje na faida yote inarudi nchini kwao. Hata maduka mengi ya jumla na kampuni za uingizaji na usambazwaji wa dawa humilikiwa na wageni, hususan wahindi. Unajisikiaje?
 
Inabidi sasa watanzania tuunganishe nguvu na wafanyabiashara wakubwa wageukia sekta ya viwanda vya dawa ili tuweze kuongeza uwezo wa kujitegemea katika hili. Leo hii mipaka ya kuingiza dawa ikifungwa basi asilimia kubwa sana ya dawa zitakosekana na watu wengi sana watapoteza maisha.
 
Mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) husimamia dawa na maeneo, Â Â Â Â Baraza la famasi Tanzania (PCT) husimamia wanataaluma ya dawa na vyuo vinavyotoa kozi za dawa

Ndio. Hapa ndipo usalama wako ulipo. Biashara ya dawa haifanywi kiholela, wafanyabiashara na wanataaluma wote wapo chini ya sheria na miongozo ya TFDA na baraza la Famasi.

Ni lazima famasi iwe na leseni mbili; moja kutoka TFDA na moja kutoka Baraza la Famasi.
 
Dawa moja, majina mengi

Miongoni mwa vitu vinavyosumbua sana katika biashara ya dawa ni majina mengi ya dawa. Kama huelewi dawa na majina yake basi unaweza ukaikataa dawa na kusema sio yenyewe wakati kumbe ndiyo hiyo hiyo ila tofauti ni majina, rangi ya boksi nk

Dawa zina aina kama tano hivi za majina, lakini katika ngazi ya matumizi kwa jamii majina makuu ni mawili: 1. Jina la asili (Generic name) 2. Jina la biashara (Brand name)
 
Mfano rahisi sana tuchukulie dawa ya maumivu tunayoitumia mara kwa mara iitwayo Paracetamol ambayo wengi huiita Panadol

Paracetamol ndilo jina la asili la hii dawa, na ndiyo inayofanya kazi haswaaaa…..

Ila viwanda mbalimbali vinazalisha Paracetamol na ili kuitofautisha Paracetamol yao na Paracetamol kutoka viwanda vingine ndipo wanaipa dawa yao jina na kulisajili ili kujitofautisha.
 
[emoji444][emoji443][emoji444][emoji445][emoji445]I Know You[emoji443][emoji444][emoji445]

When I first met you,
I felt like I had known you forever,
telling you my secrets
and what I didn't want ever.
You listened to me.
I bet you thought I'd never end.
Who would have thought
we would become more than just friends?
Over a period of time
I got to know the real you.
A boy, so caring and gentle,
with a heart so true.
You've survived your life
with hurt and loneliness by your side.
I told you I'd never leave
because of the feelings I have inside.
I know you
like no one I have ever known,
and sometimes I wonder
what I'd do if you were gone?
So I have decided
time answers all.
If it is meant to be,
time will remove the wall.
I love the way we are together.
You can always make me smile.
Will it ever really be forever?
I guess I will have to wait a while.
Time will reveal what lies ahead,
but always remember
what I have said.
Meeting you has changed my life,
and I really love you so.
The feelings I feel for you,
I am never letting go.
Remember me always
and I will, too.
I always think of
me and you.

[emoji224]
[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
 
Back
Top Bottom