Tha real voice
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 898
- 5,317
Nipo sis. Kwa mara ya kwanza nimeanza kuhisi kuwa wale jamaa are in danger. Ukiendelea na spidi hii muda si mrefu utagonga 100K. Ngoja tuone!Mamboz ndugu yangu
Hahahaaaa. Haki ya mola wetu aliye hai. Ipo siku tutaumbuliwa na Id fake hizi, si ajabu malumbano (hard talk) ni kati ya jamii yenye ukaribu wa heshima.Kuna ile picha ya lissu na anne makinda wakicheza mziki, same same to you
Heee!!hivi kafia wapi mzee wa mpenzi jini
kama hiviLikes
hahaha we ungewakamatiaje??Hawa hawajakamatia vizuri watoto wa mkulu
Kuna dogo anaangalia hiyo animations mkuuSema unatania mkuu, na joto hili unakuaje frozen?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Muda wa kukaa na kutazama video ndiyo hakuna. Ukija kumaliza kutazama unakuta uzi umefika Nyu Yoko [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani tena kaubarafusha moyo wako. Hebu na ashidwe na alegee!Frozen heart
Nilimpa sasa sijui kama aliichukuaAlietaka miwani alipata?
Viuno hivyo mkuu siunaelewa mwanamke anapendwa kushikwa wapihahaha we ungewakamatiaje??
HahhaahNipo sis. Kwa mara ya kwanza nimeanza kuhisi kuwa wale jamaa are in danger. Ukiendelea na spidi hii muda si mrefu utagonga 100K. Ngoja tuone!
Nko makini[emoji736]Tupo kumbuka kusambaza likes upate likes
They can be forged!Numbers dont lie