Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kawaida yangu kazi yangu kubwa ni kuwakumbusha. Lengo letu hapa ni likes na siyo kukimbiza uzi. Huku nyuma zipo posts kibao zina likes moja au mbili. Sipendezwi. Niko huku nimekwama najaribu kujazia jazia. TOA LIKES KAMATA LIKES that's our motto. Tusijisahau na kupenda kupokea tu. Ngoja nihangaike huku nyuma kukinichosha nitahamia huko mbele...
Ok ngoja nami nije!
 
Toa likes kamata likes
 
Bora umewakumbusha mkuu maana nlikua nimeubeba mzigo peke angu [emoji4][emoji4]. Kula likes
 
Back
Top Bottom