tangoMzungu ni mtu aweza kuwa mwanaume ama mwanamke,
Mara nyingi hawapendelei kuvaa suruali za vitambaa.
take controlSounds of music
Usiwe na wasiwasi kupata like kutoka kwa kichwa kichafu maana napita kila postMkuu nshakula like ila avatar yako imenichanganya acha tu nimebaki kula kwa macho.
Aya mkuu
Nshakupa na mimi like
wapo humuWapi mrembo wangu wa rwanda
Hatari sana huu kwa afyamm uzi wa like umeniteka kiakili
Na jinsi watu wanavyocheka pekeyaoMaana mi nilitaka nione watu walivyo busy
PambanaNimejishibia nafikiria nikizinzia nitaamka na kukuta 50k imenipita... eeeeh
hahahahahahahaa