Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yaani,wee acha tu.Najitahidi kula mara kwa mara matikiti na matango kama mbadala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwakuwa umeshapewa ushauri na tabibu, yaliyobaki ni yako. Muhimbili kulikuwa na daktari bingwa wa magonjwa ya moyo Dr Shaba. ( sijui kwa sasa yuko wapi?) Daktari huyu ufanisi wake wa kazi ni baada yq kupata kilevi. Na sigara kwake ni bandika bandua, lakini hilo halikumzuia kuwaelimisha watu madhara ya vitu hivyo. Pambana na uhalisia mkuu