Me sitaki mkosane ujueBakia hapa hapa tu liwalo na liwe !!!
usisahau kurudiNgoja niende
Niko upande wako shemeji...Migogoro si mizuri hasa ya familia
Hata sijui nimejikuta napaliwa tu[emoji40] [emoji40]Nimemwita shemeji, hicho kikohozi chatokea wapi?
Inawezekana[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa umepaliwa na sami na hizi mvua wapogo wengii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kabisa, mafundisho yooote niliyo yapata kwa Numbisa yameevaporeti ghaflaUmeona sasa. Kaja na busara zile za mchana zimeanza kufifia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hufai hata kuwa karibu na mashemeji zako wewe. Kwa uliyomfanyia shemeji yako - kumharibia ndoa yake halafu ukamtosa wakati anajiandaa kuhamia Tukuyu. Hili litakuandama. Malipo ni hapa hapa duniani...Nimemwita shemeji, hicho kikohozi chatokea wapi?
Ahsante mama,ubarikiwe sana[emoji4] karibu shemeji
Ukoo wote tumeshamjua mbaya kati yetu ni nani. Kila kitu kiko shwari...Me sitaki mkosane ujue