Rise above the pain! You are bigger than your circumstances or your life situation. Your life is not defined by your CGPA, your relationship status, your bank account, or anything that you have or have not done in the past.
Do not listen to any person or automatic negative thoughts that may have conditioned you to think of yourself or your life as a failure.
Kwa mifano hii napendekeza, kuanza kujidhibiti mwenyewe hasa wakati ukiwa umechoka. Unaweza kuepuka vitu hivyo hata kama unajisikia kuwa na stress za aina gani au unakuwa umeboreka
Kitu cha kufanya ni kutokuweka hivyo vitu nyumbani kwako . kila unaposikia kutafuna ukienda kwenye friji huwezi kupata , matokeo yake , utaamua kubaki na hamu yako.
Kitu cha kufanya ni kutokuweka hivyo vitu nyumbani kwako . kila unaposikia kutafuna ukienda kwenye friji huwezi kupata , matokeo yake , utaamua kubaki na hamu yako.
Wakati mzuri wa kula ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu mwisho saa moja usiku. Huu ndio muda mzuri wa kula . sasa hapo kuna kazi kwa wale ambao wamezoea kula saa tatu usiku au saa nne usiku. ..
Hapa ni kwa ajili ya watu wote wanaotaka kupungua uzito na kuwa na afya nzuri , sio sheria . kwa sababu hio kifungua kinywa unaweza kupata kuanzia saa moja asubuhi kama kawaida kiwe ni cha nguvu.
Njia nyingine nzuri ya kuepuka kula vyakula vidogo vidogo usiku ni kupiga mswaki baada ya kula chakula chako cha usiku.. Kwa hio angalia ni mbinu gani itakusaidia ili uache kula usiku.
Tambua akili yako inakuambia nini. Mara nyingi kula kwetu inaletwa na msukumo tunaojiambia wenyewe. Mimi nimekuwa na tabia moja kuwa , nimekula vizuri leo, nahitaji niheshimu utaratibu wangu, kwa sababu hivi vitu havitaisha siku zote vipo. Lazima tuamini kuwa hatutaweza kuwa na furaha kama tukiendelea kula kula kila mara , hasa wakati wa usiku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.