Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ajabu nimeota naogelea mtoni kijijini Koromije. Na nimeamka na kuzikuta likes zangu ziko pale pale. This gonna be a good day [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Utuote tumekuibia likes zako zoote umebakiwa na zero likes hahaha
HahahahahaaAjabu nimeota naogelea mtoni kijijini Koromije. Na nimeamka na kuzikuta likes zangu ziko pale pale. This gonna be a good day [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Chloroquine dah! Uchungu wake haukuwa wa dunia hii jamani. Wakati mwingine mpaka wakushikilie kama ng'ombe halafu unalazimishwa vidonge uvitafune, au vinapondwa kwenye kijiko..Unazikumbuka dawa za
zamani kama vile Chloroquine na Tetracycline? Unaziona sana siku hizi?
Nilikua naona bora sindano kuliko dawaChloroquine dah! Uchungu wake haukuwa wa dunia hii jamani. Wakati mwingine mpaka wakushikilie kama ng'ombe halafu unalazimishwa vidonge uvitafune, au vinapondwa kwenye kijiko..
Nzuri majukumu tu yanabanaHi,za kupotea?