mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi!
HahahahahaAjabu nimeota naogelea mtoni kijijini Koromije. Na nimeamka na kuzikuta likes zangu ziko pale pale. This gonna be a good day [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Samaki mkunje....Huyu shemeji yako huyu siyo mtu mzuri huyu. Ukiendelea kumchekea madhara yake ni makubwa huko mbele ya safari. Unless kama unataka kinipate kilichompata Cole nakuomba sana umwepuke kama ukoma. Ila ana vishawishi vingi sana na maneno matamu ajabu. Imagine Carba mwenyewe na ujanja wote ulee mpaka alinasa; na alipoanza tu kufungasha mabegi kuhamia Tukuyu akatemwa. Please be careful. Mashemeji wengine si wa kuzoea kabisa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Amani yetuFuraha yetu
[emoji106] [emoji106]Good evening TANZANIA
Nilikuwa nawasilisha hoja hapa kuwa ma Forex yamekaba. Niko sahihi?Nzuri majukumu tu yanabana
No EPL today
[emoji123] [emoji123] [emoji123]Good evening all wana likes
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Habari za jioni hii wadau wa likes
Mkavu[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Samaki mkunje....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji109]Madays machache kufika Christmas
[emoji123] [emoji123] Na ije tu. Tupo GadoUsije sema ukujiandaa hoo sikukuu imekuja ghafla
Mkuu, ulituachaWadau kimya sana humu Siku hizi