mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu niaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu niaje
AMUN RA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushilawadu huoGuudi.Nimeona ulivyo mfagilia mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu shemeji yako huyu siyo mtu mzuri huyu. Ukiendelea kumchekea madhara yake ni makubwa huko mbele ya safari. Unless kama unataka kinipate kilichompata Cole nakuomba sana umwepuke kama ukoma. Ila ana vishawishi vingi sana na maneno matamu ajabu. Imagine Carba mwenyewe na ujanja wote ulee mpaka alinasa; na alipoanza tu kufungasha mabegi kuhamia Tukuyu akatemwa. Please be careful. Mashemeji wengine si wa kuzoea kabisa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Am vere Fain shemeji, hawu iz wikiendi?