AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
Hii kunwa saana tu.Tangawizi ni kiungo, tangawizi ni dawa. Unaweza kunywa tangawizi pia kwa kuchangamsha mwili na akili pamoja na kupunguza mafua na kikohozi.
Hii kunwa saana tu.Tangawizi ni kiungo, tangawizi ni dawa. Unaweza kunywa tangawizi pia kwa kuchangamsha mwili na akili pamoja na kupunguza mafua na kikohozi.
Tunaharibu na kupoteza kambakamba za muhimu kabisaATHARI ZA KUKOBOA VYAKULA
Kukoboa vyakula hupelekea kuondolewa kwa ganda la nje la mbegu
Chakula mfu!Matokeo yake tunabakiwa na wanga tupu ambao hutusaidia kupata nguvu tu
Mura! Hii ni chakura gani mura!.
Napunguza utam no mo like to uHahahahaa imenibidi nicheke maana siku hizi naweka fupu fupi ili watu wasipate uvivu wa kuzisoma pia nipate likeeeessss. Ila likes tamu
Kama sisi aka zilipendwaWazee pia huhitaji kiasi cha kutosha cha protini ili kufidia zile zinazoharibika kutokana na kuzeeka pamoja na kusaidia kuboresha kinga ya mwili ambayo nayo pia inakuwa imeanza kudhoofu.
Makande[emoji23]Mura! Hii ni chakura gani mura!.
He ntaanza kutumia kwa wingi,asante kwa kunijuzaKwa wazee ukosefu wa protini za kutosha hufanya miili yao kuzeeka haraka zaidi na kudhoofu zaidi.
Msoga chief.
Hii thread ni dawa ya vidonda vya tumboduh!!
Kwa wenye hadhielimu ya wazi na hadhi
Tajiri mtata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapohamia pahala unahitaji pahala pakukaa... Dr louis voice
Mnh! Hii shimba ya wapi?
Alitwambia mzee nyerere "Wakati Ni Huu[emoji117] "wakati ni sasa
Naam ni kweliHakika ni zaidi ya kufahamiana.Tunaishi pasi magomvi tukiwa zaidi ya watu ishirini.
Uzi huu umenifundisha uvumilivu na kunyamaza ninapoona kifuatacho hakistahili...