Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
Karibu sanaMi ni mgeni hapa, kwahiyo wenyeji na wageni siwafahamu, kwahiyo samahani
Karibu sanaMi ni mgeni hapa, kwahiyo wenyeji na wageni siwafahamu, kwahiyo samahani
Asante sana kiongoziKaribu sana
Binti anatupelekesha sana.Amekuwa kiungo mzuri sana kuhakikisha uzi unakuwa sio wa kimya kimya(Numbisa na ushauri,myoyambendi na updates, Ruta na taarifa,moud na mzee wa liver kwenye uhamasishaji,BAK na HARUFU picha na nyimbo,Shimba ya Buyenze na mambo ya imani,kutiana moyo na mambo yetu yaleee...) na kuchosha watu.Asante mkuu. Ila Carba tu akija hapa busara zetu zinapotea ghafla sijui kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika ndugu yanguNdiyo maana uzi huu ni muhimu japo ukiuangalia kwa juu juu utadhani ni matineja wamekusanyana kupeana likes.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekwepa kistaarabu sanaHahahahaa acha hizo bana mbona darasan ulikua unaweza kumsikiliza mwalimu wakati huo huo unapanga ratiba za muda wa break huku ukirushiana vimemo na mabest bado unataniana na jirani,nje kikipita kitu lazima uone. Mwalimu akichapia unagundua mapemaaa. Hahahaa ndo maisha haya
safi sana mkuu...Binti anatupelekesha sana.Amekuwa kiungo mzuri sana kuhakikisha uzi unakuwa sio wa kimya kimya(Numbisa na ushauri,myoyambendi na updates, Ruta na taarifa,moud na mzee wa liver kwenye uhamasishaji,BAK na HARUFU picha na nyimbo,Shimba ya Buyenze na mambo ya imani,kutiana moyo na mambo yetu yaleee...) na kuchosha watu.
Hakika ana umuhimu wake kwa kweli...