Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9d0f6d8f56822ca55f3465b3158ed174.jpg
Yeeeeeees. Ungangari katika maisha ni muhimu sana. Mungu Atupe nguvu na uzima. Mengine yote madogo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hapo Mzee Ruta naye bado hajadondosha picha 10 za wachezaji na maselebriti wa Ulaya kwa mpigo. Huku Myoya naye anahimiza uzalendo, Cole anashusha paraboz kwa "mate" wake...ali mradi raha tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani siku ikipita bila kuchungulia humu unaumia kweli.
 
Back
Top Bottom