Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f58b73c1ac8650ecd3c9a5b02c44bb9b.jpg
 
Binti anatupelekesha sana.Amekuwa kiungo mzuri sana kuhakikisha uzi unakuwa sio wa kimya kimya(Numbisa na ushauri,myoyambendi na updates, Ruta na taarifa,moud na mzee wa liver kwenye uhamasishaji,BAK na HARUFU picha na nyimbo,Shimba ya Buyenze na mambo ya imani,kutiana moyo na mambo yetu yaleee...) na kuchosha watu.
Hakika ana umuhimu wake kwa kweli...
Andjul na ucheshi wake, kwenye harakati zake za kuvamia vamia mazizi[emoji3] [emoji3] [emoji3]mkuu habari za jioni
 
Back
Top Bottom