moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jirani mbaya si rafiki mwemajirani apendwe zaidi ya ndugu
Jirani mbaya si rafiki mwemajirani apendwe zaidi ya ndugu
[emoji109] [emoji109] [emoji109] nipe 5 mkuu.Hakika ni zaidi ya kufahamiana.Tunaishi pasi magomvi tukiwa zaidi ya watu ishirini.
Uzi huu umenifundisha uvumilivu na kunyamaza ninapoona kifuatacho hakistahili...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nimejisemea mm mkuu
Make cha kwanza nimewaza kwanza angelikua kanyoa kipara [emoji23] [emoji23] [emoji23] ingelikuwajee
Orodha ya hivi vitu ulivyotaja hapa, harufu ya ushuzi wake, unaweza kuondoka na roho ya mtu. Yai la kuchemsha na dengu ushuzi wake unaingia nao vitani hana Korea kaskazini na kushinda!dengu, kunde na mayai hata hayana gharama
Hahahahahaa dah watu mnawaza mbali jaman hahahaaOrodha ya hivi vitu ulivyotaja hapa, harufu ya ushuzi wake, unaweza kuondoka na roho ya mtu. Yai la kuchemsha na dengu uahuzi wake unaingia nao vitani hana Korea kaskazini na kushinda!