Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani mkuu,huyu sio wa kwetu...niwe mkweli tu,hawajafikia kiwango hicho labda awe haibridi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakwenu karibia wote ni weusi na sura zao wamerithi kwa mzazi wakiune[emoji3] [emoji3] mkuu utani tu. Maana mbeya kwa misambwanda nao hawapo nyuma. ANGALIA HIYO
cab1b326df374e4a278b56a0bc571a32.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa ananikwaza sehemu ndogo sana...Kwenye kimea (ulabu) anasisitiza saana madhara yake,kuna muda nakuwa na kaglasi kapo pembeni,ile unahama page tu Numbisa huyooo...mara paaaap "madhara ya pombe" aaarrrg!!!!!!
ahahahahaaa kuna wengine ukiwaambia madhara ya kitimoto wanakwambia wao hawalagi kitimoto bali wanakula pork. Ila kitimoto tamu bana
 
Back
Top Bottom