Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Asante mkuu. Ila Carba tu akija hapa busara zetu zinapotea ghafla sijui kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti anatupelekesha sana.Amekuwa kiungo mzuri sana kuhakikisha uzi unakuwa sio wa kimya kimya(Numbisa na ushauri,myoyambendi na updates, Ruta na taarifa,moud na mzee wa liver kwenye uhamasishaji,BAK na HARUFU picha na nyimbo,Shimba ya Buyenze na mambo ya imani,kutiana moyo na mambo yetu yaleee...) na kuchosha watu.
Hakika ana umuhimu wake kwa kweli...
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] Uzi huu kwakeli ni full burudaniOrodha ya hivi vitu ulivyotaja hapa, harufu ya ushuzi wake, unaweza kuondoka na roho ya mtu. Yai la kuchemsha na dengu ushuzi wake unaingia nao vitani hana Korea kaskazini na kushinda!
Mimi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlugaluga wa Kiwalani ana hela ohooo. Siku hizi ni hela tu ndugu yangu [emoji116][emoji116][emoji116]Kwa hiyo umeamua kuwa my wife wa yule mlugaluga wa Kiwalani huko, sijui wanamuita andjul? Umenigaya mimi mtoto wa mjini, mtoto wa mitaa ya Indira Gandhi, Moscow, Samora, Jamhuri, Fupi, Kitumbini? Hapo umechemsha aisee! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23]Huwezi kunijibu mimi ivyo, umenierewa?!
Sina mkuki mie!
Mlugaluga wa Kiwalani ana hela ohooo. Siku hizi ni hela tu ndugu yangu [emoji116][emoji116][emoji116]
![]()