Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ufisadi Afrika. Yaani kama tumerogelezewa !! [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
**************************************
See the amount of money found in the house of the director of anti-corruption team in Cameroon Southern Region in Ebolowa.
a1692d205180c0d22c86be7aa1b7dbd7.jpg
 
Waafrika kuchekana kisa umuduji wa lugha za wazungu na tamaduni zao. Kweli jamaa walikuja kututawala nasi tulitawaliwa mpaka tukatawalika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana hatuhangaiki kujifunza lugha za makabila yetu, makabila jirani na lugha muhimu ya kitaifa Kiswahili. Maana tupo bize kujifunza lugha za wale waliodiriki kutufanya bidhaa, tukawekwa gulioni wakitushindania bei kama tuwafanyavyo ng'ombe kwenye minada. UPUMBAVU NI SIFA AMBAYO MWAFRIKA ATAENDA NAYO KABURINI.
 
MGONJWA....Daktari Mimi tumbo langu hunisokota pindi ninapo kula...
DAKTARI......Unakula matunda?
Mgonjwa..... Ndio
Daktari...…. OSHA matunda vizuri kisha kula NA maganda yake Itakusaidia
Mgonjwa ....kimyaaaaa....
Daktari...... Mbona kimya hunijibu kitu.
Mgonjwa,....NAFKIRIA HAYO MAGANDA
DAKTARI, ...KWANI UNA TUMIA MATUNDA GANI?
MGONJWA,...... MADAFU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo daktari ilibidi atoke nje kwanza akanywe Maji,.......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
```Norman Vincent Peale says : "Every person, if he is to have mental health and live successfully, must move away from past failures and mistakes and go forward without letting them be a weight upon him. The art of forgetting is absolutely necessary."```
 
Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European Union) kuzuia watu kumtuhumu na kumsingizia shetani mambo mbalimbali bila kuwa na ushahidi.

Wakili huyo amesema kwa muda mrefu sasa shetani amekuwa akituhumiwa kwa mambo mbalimbali bila kupewa nafasi ya kusikilizwa. "Mara nyingi watu wanapofanya mambo mabaya katika jamii hawataki kuwajibika na hivyo kumsingizia shetani, na hivyo shetani huhukumiwa bila kupewa nafasi ya kusikilizwa" Giovanni ameliambia gazeti la The Express la nchini humo.

Ikiwa shauri hilo litakubaliwa, mahakama inaweza kuweka zuio la kutumia jina la shetani kwa mambo mabaya bila uthibitisho usiotilia shaka kwamba kweli shetani amehusika na matukio hayo. Wakili Giovanni anasema kwa siku za karibuni watu wengi wamekuwa wakifanya makosa lakini wakijitetea kuwa wamepitiwa na shetani jambo ambalo linatilia mashaka ukweli wake.

Giovanni anataka mtu yeyote atakayesema amepitiwa na shetani aweze kuthibitisha mbele ya mahakama pasi na shaka yoyote kuwa kweli shetani alimpitia.

Wakili huyu mwenye vituko vingi, amewahi pia kusema ikiwa atapewa nafasi ya kuzungumza na Mungu basi atamuomba nafasi ya kumtetea shetani siku ya kiyama.

Hata hivyo wakili mkongwe mwanamama Emma Jones wa kampuni ya Leigh Day Attorneys amesema anategemea shauri hilo kutupiliwa mbali na Mahakama kwani halina msingi wowowte wa kisheria.
 
TO: KAUNDA SEKURITY GUIDE,
Box 8569,
MUSOMA,
TANZANIA.
Dear sar,

RI: APLICATION OF JOB

I am aply to my job of sekurity guide to you boss in you company of Kaunda. I am complete to form 4 examination certificate in 1997. My skool here Nyamongo sekondary very good. I am 27 ears to be Born of age and no waif and no childish. My father deaded long time ago and my mother is marry in Swaziland country there 10 years now, no see she until now, so nobody known to help me money and food and tea and drink. My certificate is just sitting home for itself, but passes in Mathematics, Geography, Science subjects and all subjects but fail in English because of Mjaluo teachar teaching me is look jelous of myself. Me because wear expenses cloth and shoe than Mjaluo teachar.
I here people you want security guide to your company and I tell you I am one of that job experience for 2 years looking video for Rambo I, II and III. I also shot thief dead. I want to join the company of you and chase criminal and thief out with SMG of me. I can fight for SMG, arrow, spear, panga, knife, stick and stones. Me also can fight for boxing like Tyson.
Please consider my aplication very careful and call me any time because me have hand telephone now. I am red for interview with you if you like me.
Me have no photocopy certificate because the photocopy machine there at Mchaga shop is of a long time and very old it can mistake spelling in the certificate, that is why.
I am very hornest and I didn't steal since I born until now. I can speak English free.
I have no very many I end here. Please also greet your wife and childish!

Yours
Mwita Chacha Marwa son of Msafiri (AK47).
 
Colin Powell says : "Never receive counsel from unproductive people. Never discuss your problems with someone incapable of contributing to the solution, because those who never succeed themselves are always first to tell you how. Not everyone has a right to speak into your life. You are certain to get the worst of the bargain when you exchange ideas with the wrong person. Don't follow anyone who's not going anywhere."```
 
Back
Top Bottom