Hapo Mzee Ruta naye bado hajadondosha picha 10 za wachezaji na maselebriti wa Ulaya kwa mpigo. Huku Myoya naye anahimiza uzalendo, Cole anashusha paraboz kwa "mate" wake...ali mradi raha tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Napenda kusoma muunganiko wa haya nyingi ili nihitimishe mapema.
Si unajua kuna vurugu ya posts za watu humu(moud kaongea yake,carba karumbana na Kk,Shimba hana imani na andaeitini,jakitoo wanateta na mate wake,Cole kanitwanga kijembe,fromu no wea nsamaka kaipinga talaka) kiasi kwamba inakuwa ngumu kukonsetreti na post fupi fupi.
Lakini usijali, nitavumilia tu
Aaaa wapi!Mi mwenyejii mkuuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaa wapi!
Mwenyeji wa kupita...
Makazi yako kuleeeee kwa Mama D...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119]