Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

556dca28181246aa8d4a64d53807318d.jpg
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] tangu jana kwenye chips na matumizi ya madawa,umenifanya niwe msomaji zaidi kuliko kutoa like.
Achana na LIKE zetu,endelea kutoa elimu na Mungu atakupa LIKE za kiroho ambazo zina thamani kuliko za kwetu
Ndiyo maana uzi huu ni muhimu japo ukiuangalia kwa juu juu utadhani ni matineja wamekusanyana kupeana likes.
 
Protini ni virutubisho muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa miili yetu. Mwili huhitaji protini kila siku kwa ajili ya kujijenga, kujikarabati na kukua kwa ujumla. Bila protini mwili hauwezi kuendelea, na huanza kudhoofika na hatimaye kufa kabisa. Huanza kwa kukonda, kudhoofu na baadaye kufa.
 
Hahahahaa imenibidi nicheke maana siku hizi naweka fupu fupi ili watu wasipate uvivu wa kuzisoma pia nipate likeeeessss. Ila likes tamu
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Napenda kusoma muunganiko wa haya nyingi ili nihitimishe mapema.
Si unajua kuna vurugu ya posts za watu humu(moud kaongea yake,carba karumbana na Kk,Shimba hana imani na andaeitini,jakitoo wanateta na mate wake,Cole kanitwanga kijembe,fromu no wea nsamaka kaipinga talaka) kiasi kwamba inakuwa ngumu kukonsetreti na post fupi fupi.

Lakini usijali, nitavumilia tu
 
Alikwama Mogadishu. Isije ikawa Al Shabab walishafanya yao (God forbid)...

Kumbe ulikuwa unafurahia nilivyokuwa nateseka? Ngoja sasa na ww. Dawa yako inachemka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Alipotea kimoja. Unajua uzi huu ulivyo. Kuna wakati unakuta hakuna likes hata moja. Konge alikuwa anaweka picha zake mida ya wanga ambapo huwa hakuna watu. Naona alichoka. Hata HARUFU naye kapunguza punguza. Uzi huu umeanza kuwa tricky. Mi siku hizi nasubirisha mpaka Numbisa akija ndo najua kuwa uzi karibu utachangamka sasa. Na Carba akitokeza. Na Andjul basi ni full kipupwe yaani...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahahaa acha hizo bana mbona darasan ulikua unaweza kumsikiliza mwalimu wakati huo huo unapanga ratiba za muda wa break huku ukirushiana vimemo na mabest bado unataniana na jirani,nje kikipita kitu lazima uone. Mwalimu akichapia unagundua mapemaaa. Hahahaa ndo maisha haya
Jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Napenda kusoma muunganiko wa haya nyingi ili nihitimishe mapema.
Si unajua kuna vurugu ya posts za watu humu(moud kaongea yake,carba karumbana na Kk,Shimba hana imani na andaeitini,jakitoo wanateta na mate wake,Cole kanitwanga kijembe,fromu no wea nsamaka kaipinga talaka) kiasi kwamba inakuwa ngumu kukonsetreti na post fupi fupi.

Lakini usijali, nitavumilia tu
 
Protini hujenga mwili, husaidia kutengeneza na kukarabati sehemu za mwili zilizoharibika, hujenga kinga ya mwili na kuusaidia kupambana na magonjwa, husaidia kudhibiti kiasi cha maji mwilini na hutengeneza sehemu kubwa sana ya kemikali za muhimu sana kwa ajili ya miili yetu na utendaji kazi wa kila siku wa mwili (Hutengeneza enzymes, homoni, damu, misuli, nyama zinazojaza mwili nk).
 
MAHITAJI YA PROTINI KWA WATU MBALIMBALI

Mahitaji ya protini kwa watu mbalimbali hutofautiana kidogo. Watoto na akina mama wajawazito huhitaji kiasi kikubwa sana cha protini kuliko vyakula vingine. Hii ni kwa sababu miili yao inahitaji protini kwa wingi kwa ajili ya kujijenga.
 
MADHARA YA KUKOSA PROTINI ZA KUTOSHA

Ukosefu wa protini ya kutosha kwa watoto hupelekea tatizo la kwashakoo. Mtoto hukonda sana, hudhoofu na kinga ya mwili wake hupungua sana hivyo kuwa rahisi kukumbwa na magonjwa. Pia ukuaji na maendeleo ya mtoto huwa duni.
 
Back
Top Bottom