Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi konge
Alipotea kimoja. Unajua uzi huu ulivyo. Kuna wakati unakuta hakuna likes hata moja. Konge alikuwa anaweka picha zake mida ya wanga ambapo huwa hakuna watu. Naona alichoka. Hata HARUFU naye kapunguza punguza. Uzi huu umeanza kuwa tricky. Mi siku hizi nasubirisha mpaka Numbisa akija ndo najua kuwa uzi karibu utachangamka sasa. Na Carba akitokeza. Na Andjul basi ni full kipupwe yaani...
 
Wakubwa muhakikishe batteries zenu za magari zina icho kifuniko chekundu...jamaa wanatengeneza buku 30 fasta wakikusimamisha wakafungua boneti at wasikikute..take care!!
b9d8a69dbdf7cd8e967a64ba4d22bff6.jpg
-Vitolea maji ya kuoshea vioo vya mbele na nyuma vifanye kazi
-Wheel caps zisifungiwe kwa wire...
-ukirumbana sana na askari na ukamshinda,usiruhusu akanakiri namba za leseni,unaingiziwa faini
 
Alipotea kimoja. Unajua uzi huu ulivyo. Kuna wakati unakuta hakuna likes hata moja. Konge alikuwa anaweka picha zake mida ya wanga ambapo huwa hakuna watu. Naona alichoka. Hata HARUFU naye kapunguza punguza. Uzi huu umeanza kuwa tricky. Mi siku hizi nasubirisha mpaka Numbisa akija ndo najua kuwa uzi karibu utachangamka sasa. Na Carba akitokeza. Na Andjul basi ni full kipupwe yaani...
Kuna mtu alikua analalamika kule jukwaa la malalamiko kapoteza password za ID yake yenye likes nyingi. Nikahisi labda atakua ni konge au nae ana kesi ya aina hii ya kusahau ID au ubusy mwingi sana
 
Back
Top Bottom