Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUTOKA MAHAKAMANI - Mwanamitindo Hamisa Mobeto amekwaa kisiki mbele ya Msanii wa muziki, Diamond Platnumz baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa Watoto kutupilia mbali kesi aliyofunguliwa mwanamuziki huyo juu ya matunzo ya mtoto.
 
Sijaacha kabisa ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23], Baba viv sijui kapotelea wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikupa kaugonjwa kamoyo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Alikwama Mogadishu. Isije ikawa Al Shabab walishafanya yao (God forbid)...

Kumbe ulikuwa unafurahia nilivyokuwa nateseka? Ngoja sasa na ww. Dawa yako inachemka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom