Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A Bird asked a Bee "You work so hard to make Honey but people steal it all. Don't you feel sad?" The Bee replied, "No, they might have a way of stealing my Honey but will never steal the Art of Making it!" People may Despise you, Discourage or steal your Ideas, but they can never Separate you from the Source of your Blessing. Always have a very good Relationship with God, and you will Live to Enjoy every good Fruit in the Land that the good Lord will Set your Foot on.
Good morning
 
Ulitaka kumpelekea Vivi kipindi kile Mr. Mogadishu anaitetemesha roho yako. Unakumbuka? Hongera kwa kuacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaacha kabisa ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23], Baba viv sijui kapotelea wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikupa kaugonjwa kamoyo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
 
Being a good person is like being a goalkeeper. No matter how many goals you save, people will still remember only the one goal you missed. Never worry about how ungrateful some people might be... for God himself knows your work and will reward you accordingly. Learn from a candle which burns itself, lighting the way for others. Live in such a way that even if you die, you will always be alive in the great memories of others that appreciate you in what you do. Stay blessed. Peace and joy be with you always
 
*WAZO LA LEO...*
_______________________

✍Ukikutana na mtu aliyefanikiwa sana kuliko wewe unapaswa kuwa mpole na mwelewa.

✍Usimweleze mtu Huyo matatizo na changamoto zako zote akazijua siku moja na kwa wakati mmoja.

✍Usitumie fursa hiyo kwaajili ya kuganga njaa, maana njaa ukishiba hutoweka lakini baadaye hurejea tena.

✍Mtumie mtu huyo kama sababu ya kupata maarifa, elimu na ujuzi juu ya kufanikiwa kwake. Zaidi kwake omba maarifa sio pesa, maana pesa zina ukomo.

MUNGU AKUBARIKI SANA

WIKIENDI NJEMA
 
MTANISAMEHE

kuna mtu ameniuliza eti "Kitangalala kwa mfano umeshinda Biko million 50 halafu mpenzi wako ameshindwa kesi mahakaman na anapaswa afungwe miaka 30 au alipe faini ya milion 49. Je utamlipia ubakiwe na milion 1"

Kwa kweli nilichomjibu ni: "Huwa sipendi kuingilia mipango ya mahakama, ntamshauri amwamini Mungu tu. aende aombe hata Paulo na Sila waliomba milango ya gereza ikafunguliwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaa
 
*Inspection 1*
1.License
2.Insurance
3.kwenda kwa usalama
4. Fire extinguisher
5. Triangle

*Inspection 2*
1. Front Lights
2. Parking Lights
3. Break Lights

*Inspection 3*
1. Car colour
2. Dents
3. Car seats

*Inspection 4*
1. Inside Bonet (kama uko natatizo ndani ya bonet yako fix now) hii ni mpya kabisa bado iko ya moto kwenye inspection mpya.
 
89d01e3742d9befb65efd3870084ac74.jpg
 
Kama huna kasi ya likes soma hii
Mkulima mmoja alikuwa na Punda...............
Punda aliyedumu nae kwa miaka mingi sana aliyemsaidia shughuli za kilimo na uchukuzi..alikaa naye toka akiwa mtoto mpaka punda akawa mzee kabisa.

Siku moja wakiwa wanatoka shambani, kwa bahati mbaya yule punda alitumbukia kwenye kisima kirefu sana ambacho kwa wakati ule kilikuwa kimekauka.
Yule Mkulima akawaza sana atafanyaje kumtoa yule punda..na baada ya kutafakari sana akasema kwanza hata hivyo huyu punda ameshazeeka ni hasara kuingia gharama za kumtoa...akaona vema tu amzike humo humo

Akaenda kuita majirani ,wakaja na sepetu wakaanza kumwagia udongo ,mchaka na kokoto shimoni kumfukia.
Mwanzoni tu ni kama punda alijua kinachoendelea..akapaza sauti na kulia kwa sauti kali ajabu..sauti ya malalamiko...hawakujali waliendelea kufukia..kwa kutupia kila aina ya taka taka
Baadae kidogo kwa mshangao wa wengi ghafla punda alinyamaza kimya kabisa sauti ikapotea....baada ya kutupia taka kadhaa..mkulima yule akaamua kuchungulia shimoni....

Alistushwa mno na alichokiona
Kila taka na mchanga ulipokuwa ukiangukia mgongoni mwa punda...alikuwa akifanya kitu cha kushangaza.

Kila udongo ulipomwangukia..alijitingisha ukamwagika na akaukanyaga akainuka juu kidogo...kila ulipokuja aliendelea kufanya hivyo hivyo..hatimaye baada ya Muda mkulima na majirani walishangaa kuona amefika juu kabisa ya ukingo wa kisima na akatoka kwa furaha kabisaa.

SOMO:-
Kuna wakati maisha yanakurushia matakataka ya kila aina,acha kulia na kupiga kelele, jitingishe...yafanye ngazi..Kila jaribu linalotupata ni ngazi ya kupandia.

Kamwe hatuwezi toka kwenye visima virefu kwa kulia peke yake..bali kwa kupambana kuchomoka.
Wacha waone uko kimya baada ya makombora waliokurushia...yatake yapange..yafanye ngazi ya kupandia...

Changamoto yeyote unayopitia sasa...ni shimo na michanga..sisi ni zaidi ya punda..acha kulia, jikung`ute, yakanyage ,nyanyuka juu, toka Kanyaga Twende
 
Enzi zileeeeeeeee. Safari ya matumaini. Siasa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Ha ha ha ha ha. Safari ni safari. Kutoka safari ya matumaini mpaka safari ya mabadiliko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom