Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1510154236798.jpg
 
*WAZO LA LEO...*
_______________________

✍Ukikutana na mtu aliyefanikiwa sana kuliko wewe unapaswa kuwa mpole na mwelewa.

✍Usimweleze mtu Huyo matatizo na changamoto zako zote akazijua siku moja na kwa wakati mmoja.

✍Usitumie fursa hiyo kwaajili ya kuganga njaa, maana njaa ukishiba hutoweka lakini baadaye hurejea tena.

✍Mtumie mtu huyo kama sababu ya kupata maarifa, elimu na ujuzi juu ya kufanikiwa kwake. Zaidi kwake omba maarifa sio pesa, maana pesa zina ukomo.

MUNGU AKUBARIKI SANA

WIKIENDI NJEMA
Nawe pia.
 
Back
Top Bottom