mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
InaendeleaWeekend yetu
InaendeleaWeekend yetu
HahahaSiku nikigundua gereza inakopatikana hiyo aina ya ndizi, lazima niende nikafanyie uhalifu hukohuko ili niwe karibu nao aisee!
Maji ni uhaiMvua zetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kifo cha mendeMkuuuuuu....Hiyo staili hupati kitu hapo sana sana waweza ishia kuteguka mgongo tu....ha ha haaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, maswali ya nini tena? Wewe gonga likes tu basi. Hata mimi sijui ndugu yangu....
Hakuna atakayekubishia. Hata ungeweka hii comment kwenye jukwaa la siasa kila mtu angekubaliana nawe haijalishi kama ni nyumbu au fisi.....Maji ni uhai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi maiko hatari kweli![]()
saveji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyumbu au fisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna atakayekubishia. Hata ungeweka hii comment kwenye jukwaa la siasa kila mtu angekubaliana nawe haijalishi kama ni nyumbu au fisi.....
Ukizuka naye Nansio huyu kimji kizima mtafaruku...ha ha haaa