Amina.Wote ni wazima kabisa.Mvua za hovyo hovyo ndo tunasumbuka nazo,ingekuwa Tukuyu ingekuwa mwake sanaMkuu sema. Kwema huko Tukuyu? Au uko Dar? Msalie dadangu na wapwa zangu. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ja!Mwanichunguza nimekula nini nimevaa nini Leo mbona Mimi siwachunguzi [emoji442] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
Dar hapo mvua ni shida. Nimeona nyumba zina maji mpaka mabegani. Ni shida...Amina.Wote ni wazima kabisa.Mvua za hovyo hovyo ndo tunasumbuka nazo,ingekuwa Tukuyu ingekuwa mwake sana
Hayaga Mnasimiyu...