mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
In dr voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]900 itapendeza
In dr voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]900 itapendeza
Mchina niaje mambo vipiNGOUMA LOKITO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc kwa mkoromije
Kama kawaWeekend inaendelea
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mia tisa itapendeza
12:4009:55
HahahahaMacho kodo
Billionaire mtataFAHAMU - Dr. Luis Shika aliyetaka kununua nyumba za Lugumi anaishi katika nyumba ya kupanga ambapo amepanga chumba kimoja na anadaiwa malimbikizo ya kodi- MTANZANIA ...
Blessed Sunday afternoonWeekend inaendelea
Kwa kila postLikes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dr anaweza kuwa hayuko sawa kichwani. Kwanza ni Dr. wa nini? MD, Vet, PhD au honorary?FAHAMU - Dr. Luis Shika aliyetaka kununua nyumba za Lugumi anaishi katika nyumba ya kupanga ambapo amepanga chumba kimoja na anadaiwa malimbikizo ya kodi- MTANZANIA ...
Inasemekana alisomea udokta wa binadam huko russia sasa sijui ni kweli auDr anaweza kuwa hayuko sawa kichwani. Kwanza ni Dr. wa nini? MD, Vet, PhD au honorary?
Ashakipata alichokuwa anakitafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sema. Kwema huko Tukuyu? Au uko Dar? Msalimie dadangu na wapwa zangu. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nishamzoea na visa vyake.
Habari ya jumapili mama[emoji120] [emoji120]
Ukimuona SYB msalimie sana
Nimemsikia anavyoongea na jinsi tu alivyo. Sidhani kama yuko sawa. Ila naye kapata dk 15 zake za umashuhuri. Wasije tu wakamlima mvua za kutosha. It's not worth it japo pengine kawasababishia hasara ya mamilioni...Inasemekana alisomea udokta wa binadam huko russia sasa sijui ni kweli au
Kujitolea maisha kumtumikia Mungu kamwe haiwezi kuwa wastage of resources. Huyo lecturer afukuzwe kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Kiswahili linaitwaje hili tunda?
Hakuna anayejua nafikiri alikuwa anatafuta umaarufu tuDr anaweza kuwa hayuko sawa kichwani. Kwanza ni Dr. wa nini? MD, Vet, PhD au honorary?