Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wamwagie tu kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja kuwamwagia watu wangu
Wamwagie tu kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja kuwamwagia watu wangu
Kama ni umaarufu keshaupata. Wakimpiga mvua kadhaa ndo atajua kuwa umaarufu ni ghali !Hakuna anayejua nafikiri alikuwa anatafuta umaarufu tu
Salama kabisa habari za weekendMkuu salaam
Karibu mkuu tupo pamojaNa dhima si nyingine, ispokuwa kuwamwagia likes tokea pale nilipoishia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo basi kila mmoja wenu ajitahidi kudondosha post ili niitendee haki[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na wewe unataka kunenepa mkuu? Si ule sangara tu?Hii safi sana
Cc jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ashakipata alichokuwa anakitafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuvuruga mnada six months jail nafikiriNimemsikia anavyoongea na jinsi tu alivyo. Sidhani kama yuko sawa. Ila naye kapata dk 15 zake za umashuhuri. Wasije tu wakamlima mvua za kutosha. It's not worth it japo pengine kawasababishia hasara ya mamilioni...
[emoji818][emoji818][emoji818]
Yameshapita hayo mkuu. Tugange yajayo.Muhimu ni familia yako kuomba msamaha kwa carba kutokana na demeji mlioisababisha.Fulu stopu.
YapKama ni umaarufu keshaupata. Wakimpiga mvua kadhaa ndo atajua kuwa umaarufu ni ghali !
Safi.za kwakoHabari za mchana huu wanalikes
KabisaMisitu ni uhai
Pamoja mkuuNimekuja kuwamwagia watu wangu
Weweeeeeeeeeee !!!Baada ya kazi ngumu ya "kukipata alichokuwa anakitafuta".
Endelea kulala kikonokono mama... Ila usifikishe hiyo ...3