Tumesheanzisha mazungumzo na Mtibwa Sugar kuhusu usajili wa Banka, naamini hadi dirisha litakapofunguliwa atakuwa mali ya Yanga, kutokana na juhudi ambazo tunazifanya ili kumridhisha kocha wetu, ambaye ameonyesha kumuhitaji sana mchezaji huyo, amesema Katibu Mkuu wa Yanga Bonifave Mkwasa.