Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha wa Yanga George Lwandamina, amevutiwa na kiwango cha mchezaji huyo kutoka Visiwani Zanzibar na ameiambia Goal, pamoja na kamati yake ya Usajili kuwa ihakikishe wanakamilisha zoezi la usajili wake mapema na hatimaye mzunguko wa pili avae jezi za njano na kijani lakini mahasimu wao Simba nao wameonekana kuhitaji huduma ya mchezaji huyo ambaye ndiyo anacheza ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya kwanza.