Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki wa kulia wa Arsenal Bellerin, 22, anasakwa na Juventus na tayari imebainika kwamba klabu hiyo imewasiliana na beki huyo wa Uhispania kupitia wawakilishi wake.. (Sun)
 
Mshambuliaji wa Chelsea, raia wa Uhispania Alvaro Morata, 25, amesema kuwa yuko tayari kurudi Real Madrid licha ya kuuzwa na mabingwa hao wa Ulaya chini ya miezi minne iliopita. (Mirror)
 
ee4d8b23e572c23f818a3256a1a9ab8a.jpg
 
Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, 20, anaamini kwamba ana kazi ya ziada kupata fursa ya kushirikishwa katika kikosi cha Brazil cha kombe la dunia licha ya kulifungia taifa lake bao la lala salama katika mechi ya kirafiki dhidi ya Japan. (Goal)
 
Everton italazimika kuongeza maradufu mshahara wa mkufunzi wa Burnley Sean Dyche, 46, ili kujaribu kumchukua kujaza pengo lililowachwa wazi katika uwanja wa Goodison Park. (Daily Mirror)
 
Kiungo wa kati wa Bayern Thiago Alcantara, 26, amesema kuwa yuko tayari kurudi katika klabu ya Barcelona, klabu ambayo mchezaji huyo wa Uhispania aliondoka 2013 lakini amesisitiza kuwa anafurahia kusalia Ujerumani.. (sun)
 
Stoke City inataka kuwasajili kwa mkopo wachezaji Harry Souttar, Ollie Shenton na Danny Jarvis. (Stoke Sentinel)
 
Back
Top Bottom