Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAN UTD YAMFUATILIA UMTITI WA BARCA


JKocha wa Manchester United Jose Mourinho amepania kumsajili Samuel Umtiti dirisha la uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa Mirror .
Imeripotiwa kuwa Mreno huyo anataka kuongeza uimara kwenye safu yake ya ulinzi, Victor Lindelof akiwa anahaha kutafuta makali United tangu atue kutoka Benfica kwa euro milioni 30.
 
MOYES KUONGEZA WAWILI HADI WANNE JANUARI


David Moyes anatarajia kusajili wachezaji wasiopungua wawili hadi wanne West Ham dirisha la usajili majira ya baridi, kwa mujibu wa EveningStandard .
 
ZIDANE AMFANYA HAZARD SHABAHA NA.1


Kocha wa Real Madrid, Zidane amemfanya mchezaji wa Chelsea Eden Hazard kuwa chaguo lake la kwanza usajili wa majira ya joto, kwa mujibu wa Don Balon .
 
KINDA KUWAGHARIMU BARCA & MADRID KIASI CHA €30M


Flemingo hawatawauzia Barcelona na Real Madrid nyota wanayemhitaji Lincoln kwa kiasi chochote pungufu ya euro milioni 30, limeripoti Marca .
Lincoln ameng'ara kwenye kikosi cha Brazili umri chini ya 17 Kombe la Dunia India, na sasa straika huyo amepandishwa kikosi cha kwanza Flemingo.
 
NEWCASTLE INAMTAKA STRAIKA WA LIVERPOOL


Meneja wa Newcastle Rafa Benitez anataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings kwa uhamisho wa mkopo dirisha la Januari kwa mujibu wa Evening Chronicle .
 
MADRID YAANDAA DAU LA MATA


Real Madrid wanajipanga kumsajili kiungo wa Manchester United Juan Mata uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa Express .
Mata alikulia kwenye timu ya vijana ya Madrid na anaweza kushawishika ku
 
OZIL ANAITAKA JEZI YA WILSHER NA.10


Mesut Ozil anaitaka jezi namba 10 ya Jack Wilshere kama sehemu ya mkataba wake mpya katika klabu ya Arsenal, kwa mujibu wa The Sun .
 
Nitakuletea shemeji kipenzi....
bd0c8e1f907713cbbc0facf0e5605c91.jpg

Au unaweza kutengeneza yako mwenyewe nachurale nyumbani. Ukimbau mbau byeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
93b18c6175b557a7520db3b3fe082946.jpg
Hii safi sana
 
PSG MOURA NA DI MARIA KWA £70M JANUARI


Paris Saint-Germain wapo tayari kuwauza Angel Di Maria na Lucas Moura dirisha la uhamisho wa Januari ili kupata £70 milioni, kwa mujibu wa Le 10 Sport .
Miamba hao wa Ufaransa wanataka kukidhidi vigezo vya UEFA "Financial Fair Play" na wanataka kuuza wachezaji wanaocheza chini ya kiwango
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
 
Back
Top Bottom