mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap mkuuWeekend inaendelea
Habari za jumapili
Yap mkuuWeekend inaendelea
Mzee wa Tukuyu upo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona mtu anachukua mpaka mke wa ndugu yake, muogope. Ikibidi kaala naye mbali[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nansio si mchezo mchezo kama London vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] nansio siji ng'oooo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli numbisa Mimi namaliza miaka hata mitatu bila kuumwa chochoteHakuna siri kubwa – Inategemea na unavyoutunza mwili wako na jinsi unavyoishi!
Mimi sijui mavat 69 yananisaidia kutopata magonjwa yaani hata sijuiKUFANYA UCHUNGUZI WA MWILI WOTE MARA KWA MARA
KUFANYA MATIBABU MAZURI NA MAPEMA
Tuna Rais wa ajabu haijapata kutokeaTundu Lissu
Sunday olisehVictor Ikpeba
Du [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi huu kwa sasa ni sawa na Afghanistan kwa sisi wenye mazizi. Hali si salama kabisa. Huyu mzee wa Tukuyu na vizalia vyake ni shida...
MilosovicDejan Stankovic
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanazama tuKomaaa tu ila kumbuka ocean road imeelemewa na wagonjwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akijibu nitag[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui nifafanueee au niache[emoji23] [emoji23]
Halafu umemaanisha ajizamie mwenywe au akuzamie[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu uko makiniGereza la wanawake mkono wa Mara Morogoro, sijui kama nipo sahihi . wanalima sana migomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara paaap....
Unaanzaje kwa mfanoHiyo haina shida, ikibidi unamwambia tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]