carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Andjul anaonewa kwakweli,hivi wajua kuwa waliweka bet ya avatar?kwamba ikitolewa me nahamia tukuyu?[emoji23] [emoji23]We muzee wewe. Ulichowafanyia Cole na Carba kitakutafuta daima !!!
By the way, kwema huko? Tumshukuru Mungu !!!
Kuvunjwa kwa zizi langu ni mkeo ndo muhusika namba wani...
Habari ya jumamosi msalimie kitoo(in yego's voice)[emoji125] [emoji125]