Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
For every object there is a distance at which it looks its best
Mie sijambo kabisa yego, Pole sana aisee
Tafuta tanawizi utafune kama nusu kilo hivi[emoji124] [emoji124]
Ina maana wewe huuguagi? Siri yako ni ipi? Au kubomoa ndoa za ndugu zako na kuchukua wake zao inakupa hormonal rush na ku-impruvu immune system yako?Hadi leo sijawahi kufikiria kuwa ipo siku nitachoma sindano.Kwa mara ya kwanza nilichoma sindano za dripu za kwinini pale Kibamba dispensari ya masista(iresti ini pisi wameibomoa,magu huyuuu!!!) mwaka 2003,sijarudi tena hospitali.
Ni roho mbaya sana mtu kumwandikia dawa za sindano.
Muone nae huyu,unashabikia nini hapo?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Samaki mkunje....
Nenda ukakoholee Nansio kwenye joto. Kwani wamekufunga kamba huko? Kaone !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nlisahau kumwambia na lemons pia za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Good advice mke. Na akimaliza hiyo nusu kilo alete mrejesho ili tumuongezee zingine kama atakuwa hajapona !!!
Uongeze na lemons kama 20 hv [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daa, nusu kilo? Asante, nitajaribu! [emoji1]
Ina maana alifanikiwa kumchukua Nsamaka?Muone nae huyu,unashabikia nini hapo?
Wewe mwenyewe mharibifu namba moja.Yua medisini izi ini ze kicheni tokotaringi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ugua pole!Baridi mwanawasu! Hujambo lakini?
[emoji124] [emoji124] [emoji124]utanitambuaje kama nimeokokaa...[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji442] (Ana maanisha kuwa eksi awe "jakitoo" na yupo kwa kayego...)Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!
Ugua pole!
Kwani umeombwa kutoa ufafanuzi?[emoji124] [emoji124] [emoji124]utanitambuaje kama nimeokokaa...[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji442] (Ana maanisha kuwa eksi awe "jakitoo" na yupo kwa kayego...)