Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
A wide range of substances have been ground up and mixed with chocolate, including, in the pre-Columbia era, possible dinosaur fossils.
Majukumu yanasonga mbele mwisho wa mwaka huu lazima hesabu zikae sawaSafi kabisa mkuu. Habari ya majukumu?
Hakuna wa kuninasua kwako bebi hata waje na maneno matamu kama ice cream hawawezi, na hakiwezi kukupata kilichompata cole, Usiogope sweetheart[emoji8] [emoji8]
Ndiyo hivyo mkuu, uzuri mafichoniInaelekea jamaa hapa alikuwa anafuga mbwa wengi sana
Paaaaap! Out cold......Koh koh koo! [emoji124][emoji124]
Kololokwini buanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile 4_4_2 acha kabisaChloroquine dah! Uchungu wake haukuwa wa dunia hii jamani. Wakati mwingine mpaka wakushikilie kama ng'ombe halafu unalazimishwa vidonge uvitafune, au vinapondwa kwenye kijiko..
Karibu sana!Nimeipenda sana hii. Ubarikiwe mkuu !!!