Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8e04a24d64a160af8393b9c5219be56e.jpg
 
Huyu shemeji yako huyu siyo mtu mzuri huyu. Ukiendelea kumchekea madhara yake ni makubwa huko mbele ya safari. Unless kama unataka kinipate kilichompata Cole nakuomba sana umwepuke kama ukoma. Ila ana vishawishi vingi sana na maneno matamu ajabu. Imagine Carba mwenyewe na ujanja wote ulee mpaka alinasa; na alipoanza tu kufungasha mabegi kuhamia Tukuyu akatemwa. Please be careful. Mashemeji wengine si wa kuzoea kabisa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hakuna wa kuninasua kwako bebi hata waje na maneno matamu kama ice cream hawawezi, na hakiwezi kukupata kilichompata cole, Usiogope sweetheart[emoji8] [emoji8]
 
Back
Top Bottom