Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna wa kuninasua kwako bebi hata waje na maneno matamu kama ice cream hawawezi, na hakiwezi kukupata kilichompata cole, Usiogope sweetheart[emoji8] [emoji8]
Hujui tu amani ya kweli iliyoufunika moyo wangu baada ya kusoma maneno yako haya thibitishi. Tusimame imara baby. Hawa akina Andjul na kundi lake hawa ni waharibifu tu wa ndoa za watu halafu wakishaharibu wanasepa. Nakupenda bebi...
 
42a299a27e8cc2a9b971778c81c8193e.jpg
 
Back
Top Bottom