Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Yegoo una kikohozi kuanzia lini au vumbi?Koh koh koo! [emoji124][emoji124]
Yegoo una kikohozi kuanzia lini au vumbi?Koh koh koo! [emoji124][emoji124]
Kabla hujakutana naye inakulazimu kwenda kutana na mtaalam anayetoa ile kitu iitwayo "Shaft Bomba"Mkuu hii si mpka utumie winchi
Paaaaap! Out cold......
Take that to the bank Yegoooooo !!!
Yegoo una kikohozi kuanzia lini au vumbi?
Nenda ukakoholee Nansio kwenye joto. Kwani wamekufunga kamba huko? Kaone !!!Nadhani Niko allergic na baridi! Si unajua kiwinter kimeanza, nakohoa tu bhana! [emoji1][emoji1]
Mie sijambo kabisa yego, Pole sana aiseeBaridi mwanawasu! Hujambo lakini?
Good advice mke. Na akimaliza hiyo nusu kilo alete mrejesho ili tumuongezee zingine kama atakuwa hajapona !!!Mie sijambo kabisa yego, Pole sana aisee
Tafuta tanawizi utafune kama nusu kilo hivi[emoji124] [emoji124]
Hadi leo sijawahi kufikiria kuwa ipo siku nitachoma sindano.Kwa mara ya kwanza nilichoma sindano za dripu za kwinini pale Kibamba dispensari ya masista(iresti ini pisi wameibomoa,magu huyuuu!!!) mwaka 2003,sijarudi tena hospitali.Nilikua naona bora sindano kuliko dawa