Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna ukweli wowote wa kisayansi unaoshibitisha kwa dhati kabisa kwamba, aina hii ya saratani inawapata hata wale wanaoenda downtown? carbamazepine...[emoji124][emoji124]
Maandiko yanaonyesha kwamba oesophagial cancer moja kati ya visababishi vyake ni HPV(Human papilloma virus) type 16 ambayo nayo inasababisha cervical cancer,kwahiyo wale wazee wa downtown wakienda "downtown"kwa mwanamke mwenye maambukizi ya HPV type 16 inakuwa imoooo
Angalia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Cervical cancer : Virtually all cases of cervical cancer are caused by HPV, and just two HPV types, 16 and 18, are responsible for about 70% of all cases ( 7 , 8 ).
Anal cancer : About 95% of anal cancers are caused by HPV. Most of these are caused by HPV type 16.
Oropharyngeal cancers (cancers of the middle part of the throat, including the soft palate , the base of the tongue, and the tonsils ): About 70% of oropharyngeal cancers are caused by HPV. In the United States, more than half of cancers diagnosed in the oropharynx are linked to HPV type 16 ( 9 ).

Lakini pia kuna studies zinasema kuwa hakuna clear explanations za HPV na uhusiano wa kupata oesophagial cancer[emoji116] [emoji116] [emoji116]

There is some evidence suggesting a possible causal association between human papillomavirus (HPV) and esophageal squamous-cell carcinoma. [36] The relationship is unclear. [37] Possible relevance of HPV could be greater in places that have a particularly high incidence of this form of the disease, [38] as in some Asian countries, including China. [39

Nb:kabla hujazama uvinza hakikisha huyo unayemzamia ame screen uwepo wa HPV na siku hizi hospitali nyingi wanafanya hii kitu.
 
1510423290819.jpg
 
oral.jpg

oral.png
 
Hadi leo sijawahi kufikiria kuwa ipo siku nitachoma sindano.Kwa mara ya kwanza nilichoma sindano za dripu za kwinini pale Kibamba dispensari ya masista(iresti ini pisi wameibomoa,magu huyuuu!!!) mwaka 2003,sijarudi tena hospitali.
Ni roho mbaya sana mtu kumwandikia dawa za sindano.
Hahahaha sio roho mbaya bwana ni tiba nzuri sana ya haraka zaidi
 
Back
Top Bottom