Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wabongo hawaishi vituko.
Jana nilikuwa pale Magic Barbershop, akaingia jamaa na mtoto.
Jamaa akanyolewa nywele na ndevu, akaomba na mtoto anyolewe pia, dogo alipoanza kunyolewa jamaa akaaga kwamba anaenda kumchekia dogo viatu dukani.
Masaa matatu yakapita.
Vinyozi wakamuuliza dogo "Baba yako amekusahau nini?" Dogo akasema "Yule sio baba yangu, nilikuwa napita hapo nje, akanishika mkono na kuniambia TWENDE PALE TUKANYOLEWE BURE...!!"
 
Hujui tu amani ya kweli iliyoufunika moyo wangu baada ya kusoma maneno yako haya thibitishi. Tusimame imara baby. Hawa akina Andjul na kundi lake hawa ni waharibifu tu wa ndoa za watu halafu wakishaharibu wanasepa. Nakupenda bebi...
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nakupenda Shimba
 
1510417027626.jpg
 
Back
Top Bottom