Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mvunja mazizi, watu wanakuvizia wakufumanie[emoji3] [emoji3] [emoji3] umetegewa fumanizi. Utanasa kwenye siku chache zijazo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mi simo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Andjul anaonewa kwakweli,hivi wajua kuwa waliweka bet ya avatar?kwamba ikitolewa me nahamia tukuyu?[emoji23] [emoji23]
Kuvunjwa kwa zizi langu ni mkeo ndo muhusika namba wani...

Habari ya jumamosi msalimie kitoo(in yego's voice)[emoji125] [emoji125]

Vipi ushampiga chini huyo Mlugaluga wa Tukuyu? Mambo iko huku bhana, Nansio! Piga chini huyo tulianzishe! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Jamaniiiiii !!!
Mke wangu alifanya nini jamani?
Na ulipotaka kuhamia mbona tena akabadili gia angani? Au mlikuwa mnatuchezea akili tu? Was this a game?
Kwamba ulikuwa huoni kama yeye ndo sababu ya mimi kutoa talaka au?[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Me nilikuwa natimiza masharti tu[emoji124] [emoji124]
 
Maandiko yanaonyesha kwamba oesophagial cancer moja kati ya visababishi vyake ni HPV(Human papilloma virus) type 16 ambayo nayo inasababisha cervical cancer,kwahiyo wale wazee wa downtown wakienda "downtown"kwa mwanamke mwenye maambukizi ya HPV type 16 inakuwa imoooo
Angalia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Cervical cancer : Virtually all cases of cervical cancer are caused by HPV, and just two HPV types, 16 and 18, are responsible for about 70% of all cases ( 7 , 8 ).
Anal cancer : About 95% of anal cancers are caused by HPV. Most of these are caused by HPV type 16.
Oropharyngeal cancers (cancers of the middle part of the throat, including the soft palate , the base of the tongue, and the tonsils ): About 70% of oropharyngeal cancers are caused by HPV. In the United States, more than half of cancers diagnosed in the oropharynx are linked to HPV type 16 ( 9 ).

Lakini pia kuna studies zinasema kuwa hakuna clear explanations za HPV na uhusiano wa kupata oesophagial cancer[emoji116] [emoji116] [emoji116]

There is some evidence suggesting a possible causal association between human papillomavirus (HPV) and esophageal squamous-cell carcinoma. [36] The relationship is unclear. [37] Possible relevance of HPV could be greater in places that have a particularly high incidence of this form of the disease, [38] as in some Asian countries, including China. [39

Nb:kabla hujazama uvinza hakikisha huyo unayemzamia ame screen uwepo wa HPV na siku hizi hospitali nyingi wanafanya hii kitu.
Kuna sehemu niliona umeulizwa na jibaba fulani huko nyuma,uliahidi kurudi na ushahidi wa kina.
Hakika umetusaidia,acha tubaki na kiburi chetu sasa...Zamaa,zama mwenyewe...Lamba, silambi kwani lazima?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kuna sehemu niliona umeulizwa na jibaba fulani huko nyuma,uliahidi kurudi na ushahidi wa kina.
Hakika umetusaidia,acha tubaki na kiburi chetu sasa...Zamaa,zama mwenyewe...Lamba, silambi kwani lazima?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ila umenichekesha et zama mwenyewe khaa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom