mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Eti "Tumezungumza na katibu wa yanga juu ya wachezaji wa Zanzibar ila kasema kocha hayupo, amefiliwa na ndugu yake" kiswahili cha Zanzibar kina ukakasi sana.
Acha tu shemejiHakuna atakae kuelewa hata ujieleze vipi.Zaidi ya wiki sikuwepo,nimekuta mgogoro mkubwa wa u-mate.Hakika ndio ulio palekea kuvunjika kwa ndoa kutokana na madedikesheni kuzidi.
Leo hii nalaumiwa mimi ? Jamaniii!!!
Salama mkuu,habari ya jumamosiHabari za jioni bhana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We bhana, hata Nansio kuna maparachichi ujue!
Tatizo SYB hataki kukubali ukweli kuwa ndoa yangu imevunjika sababu ya mkewe[emoji24] [emoji24] [emoji24]Acha kubadilisha muelekeo,jakitoo izi resiponsibo na hili suala.
Mimi nilisimamia kwenye mkataba wa picha iking'olewa ukutani najitwalia mke.Na ndio nilipokuwa nimesimamia kwenye makubaliano ya awali...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa sifa mbaya sana.Yego ndiye alistahili sifa hiyoHahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] mvunja mazizi, watu wanakuvizia wakufumanie[emoji3] [emoji3] [emoji3] umetegewa fumanizi. Utanasa kwenye siku chache zijazo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mi simo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weraaa weraaaaaaaaa...Sijui!