Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa sifa mbaya sana.Yego ndiye alistahili sifa hiyo
Yego keshafanikiwa kuvunja zizi la nani? Mwoga yule anachochea moto ukianza kumuwakia hiyo anatoka mkuku. Bila huruma umeharibu ndoa ya mdogo wako hivi hivi...Dah ! Damu nzito kuliko maji no moa...
 
Shemeji. Kidogo nimekuwa disappointed. Kumbe wewe na huyo mzee mlikuwa mnacheza gemu tu na kucheza na hisia zetu. Ina maana hata ndoa yenu ilikuwa ni zile zinaitwa sham marriage ama? Ina maana utarudi tena kwa Cole kwa vile gemu imeisha ama?
Pole shemeji ila nimeamua kuwa singo sasahivi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
SABABU KUU ZA KUUMWA KWETU

Tunaumwa kwa sababu ya kupata vijidudu vya magonjwa (kwa magonjwa ya kuambukizwa) na hitilafu katika muundo, mfumo na utendaji kazi wa miili yetu na sehemu zake (Kwa magonjwa yasiyoambukizwa). Hizo ndizo sababu kuu za kuumwa.
 
Back
Top Bottom