Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
lakini kwa kupata elimu na ushauri wa kutosha kisha kufanyia kazi mara kwa mara unaweza kujikinga dhidi ya magonjwa 10, 20, 30, 40, 50 …….. 100 na hatimaye karibia yote.
Kinga ni bora kuliko tiba. Anza kuwa na afya njema sasa kwa kujikinga dhidi ya magonjwa. Kama kuna watu wanaishi miaka miwili, mitatu, mitano bila kuumwa na wewe unaweza. Jifunze jinsi ya kujikinga dhidi ya magonjwa na kisha jikinge dhidi ya magonjwa.